Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu Ikulu jijini Dar es Salaam. |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu wakipita katikati ya Gadi ya Mapokezi
iliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwenye viwanja vya Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo kwa furaha na mgeni wake
Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu mara baada ya kuwasili katika viwanja vya
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa Mgeni wake
Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Zambia Edgar Chagwa Lungu akiangalia kikundi cha ngoma za asili cha Kimasai
akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu
akizungumza na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na mwenyeji
wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu
jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari mara baada ya
kumaliza mazungumzo yake na Mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na Mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu Ikulu jijini Dar es Salaam.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na Mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu Ikulu jijini Dar es
Salaam.
PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon