Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni
wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu wakati wakiangalia kikundi cha matarumbeta
kilichokuwa kikitumbuiza uwanjani hapo kabla ya Rais Lungu kuondoka nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar
Chagwa Lungu wakifurahia jambo mara baada ya kuangalia kikundi cha matarumbeta
kilichokuwa kikitumbuiza uwanjani hapo kabla ya Rais Lungu kuondoka nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na mgeni wake Rais wa
Zambia Edgar Chagwa Lungu kabla ya Rais huyo wa Zambia kuondoka nchini mara
baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni
wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu wakati akielekea kupanda ndege uwanjani
hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar
Chagwa Lungu ambaye ameondoka nchini mara baada ya kumaliza ziara yake ya
kikazi. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon