PROF. MBARAWA AZINDUA BODI MPYA YA TRL

November 17, 2016



Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akimkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti mpya wa bodi ya TRL, Profesa John Kondoro alipozindua bodi hiyo jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Masanja Kadogosa akimwonyesha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, moja ya mabehewa yaliyokarabatiwa na Kampuni hiyo alipotembelea karakana ya reli jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa Bodi mpya ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) aliyoizindua  jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo Prof. John Kondoro. 




Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Masanja Kadogosa akifafanua jambo wakati wa Mkutano wa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa na wafanyakazi wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. 
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akifafanua jambo kwa wafayakazi wa TRL alipoongea nao jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Masanja Kadogosa.Kulia ni Mwenyekiti ya Bodi ya TRL, Prof. John Kondoro. 
Wafanyakazi wa kampuni ya Reli Tanzania (TRL), wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa ( hayupo pichani), alipoongea nao  jijiini Dar es Salaam.
PICHA ZOTE NA BENJAMIN SAWE-MAELEZO

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »