Rais wa Chad, Idriss Deby
akiwapungia wananchi kwenye uwanja wa ndege wa Dar es salaam wakati
alipoondoka nchini Novemba 28, 2016. Kulia ni Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa ambaye alimsindikiza na kushoto ni mke wa Rais wa Chad, Hinda
Deby. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiongozana na Rais wa Chad, Idriss Deby kwenye uwanja wa ndege wa
Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam wakati Rais huyo
alipoondoka nchini Novemba 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Rais wa Chad, Idriss Deby kwenye uwanja wa ndege wa
Julius kambarage Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya Rais huyo
kuondoka nchini Novemba 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiagana na Rais wa Chad, Idriss Deby kwenye uwanja wa ndege wa Julius
Kambarage Nyerere wakati Rais huyo alpoondoka nchini Novemba 28, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais wa Chad, Idriss Deby
akipokea heshima kwenye uwnja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere
wakati alipoondoka nchini Novemb 28, 2016. Kushoto kwake ni Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye alimsindikiza. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
EmoticonEmoticon