Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha mgeni wake Rais wa
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila mara baada ya kuwasili
katika Uwanja wa kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
JNIA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na mgeni wake wake Rais
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila wakati nyimbo za Taifa
za mataifa yote mawili zikipigwa kabla ya ukaguzi wa gwaride
lililoandaliwa kwa ajili ya heshima yake.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia
ya Congo Joseph Kabila akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa
ajili yake mara baada ya kuwasili uwanjani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia
ya Congo Joseph Kabila akipunga mkono wakati kikundi cha ngoma za asili
kilipokuwa kinatumbuiza uwanjani hapo. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon