Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo mhe. Nape Moses Nnauye (wa pili
kulia) akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Mawasiliano kutoka Airtel
Tanzania Bi. Beatrice Singano (wa pili kushoto) wakati akiwasili katika
Uwanja wa Karume kuhitimisha mashindano ya Vijana chini ya umri wa miaka
17 ya Airtel Rising Star Septemba 11, 2016 kushoto ni Rais wa
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Bw. Jamali Malinzi.
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (wa pili
kulia) akijadiliana jambo na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu
Tanzania Bw. Jamali Malinzi wakati wa hitimisho la mashindano ya Vijana
chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Star Septemba 11, 2016.
Mkurugenzi
wa Airtel Tanzania Bw. Sunil Colaso akizungumza kuhusu maendeleo ya
mashindano ya Airtel Rising Star wakati wa hitimisho la mashindano hayo
ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 katika Uwanja wa Karume Jijini Dar
es Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipita
katika moja ya geti linalotumia mfumo wa mashine za tiketi za
kieletroniki katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11,
2016.
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza
na wanamichezo, wadau wa michezo na wanahabari kabla ya kushuhudia
fainali ya mashindano hayo yiliyohitimisha mashindano hayo kwa Vijana
chini ya umri wa miaka 17 Airtel Rising Star katika Uwanja wa Karume
Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akikagua
wachezaji wa timu ya Morogoro Boys kabla ya kuanza kwa fainali kati yao
na timu ya Ilala iliyofanyika katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es
Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akikabidhi
kikombe kwa nahodha wa Timu ya wasichana ya Temeke walioibuka washindi
wa mashindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Star
kwa upande wa wasichana katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam
Septemba 11, 2016.
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akikabidhi
kikombe kwa nahodha wa Timu ya wavulana ya Morogoro walioibuka washindi
wa mashindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Star
kwa upande wa wavulana katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam
Septemba 11, 2016.
Timu
ya wasichana ya Temeke wakishangilia ushindi wao wakishangilia ushindi
wao walioupata katika mashindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya
Airtel Rising Star kwa upande wa wasichana kwa kuwafunga Timu ya temeke
kwa mikwaju ya penati katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam
Septemba 11, 2016.
Timu
ya wavulana ya Morogoro wakishangilia ushindi wao wakishangilia ushindi
wao walioupata katika mashindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya
Airtel Rising Star kwa upande wa wavulana kwa kuwafunga Timu ya Ilala
kwa goli moja kwa bila katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam
Septemba 11, 2016.
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwa
katika picha ya pamoja na Timu ya wavulana ya Morogoro mara baada ya
kumalizika kwa mshindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel
Rising Star yaliyofanyika katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam
Septemba 11, 2016.
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwa
katika picha ya pamoja na Timu ya wavulana ya Ilala mara baada ya
kumalizika kwa mshindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel
Rising Star yaliyofanyika katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam
Septemba 11, 2016.
Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM
EmoticonEmoticon