UncategoriesMAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI LUSAKA KUMWAKILISHA RAIS DKT. MAGUFULI KWENYE SHEREHE ZA KULA KIAPO RAIS WA ZAMBIA EDGAR LUNGU
MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI LUSAKA KUMWAKILISHA RAIS DKT. MAGUFULI KWENYE SHEREHE ZA KULA KIAPO RAIS WA ZAMBIA EDGAR LUNGU
Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe Grace Mujuma akiwa na Balozi
wa Zambia nchini Tanzania Mhe Judith Kapijimpanga wakifurahia wakati
ndege iliyomchukua Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan ilipotua katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Kenneth Kaunda jijini Lusaka, Zambia, leo Jumatatu Septemba 12, 2016
tayari kwa kumuwakilisha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Joseph Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa rais wa sita wa
nchi hiyo Mhe. Edgar Lungu kesho Jumanne Septemba 13, 2016 katika uwanja
wa Mashujaa jijini Lusaka
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akilakiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Vijana, Michezo na Maendeleo
ya Watoto Mhe. Agnes Musunga mara baada ya kutua katika Uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka, Zambia, leo Jumatatu
Septemba 12, 2016 tayari kwa kumuwakilisha Rais wa jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa
rais wa sita wa nchi hiyo Mhe. Edgar Lungu kesho Jumanne Septemba 13,
2016 katika uwanja wa Mashujaa jijini Lusaka
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akipokea shada la maua mara baada ya kutua katika Uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka, Zambia, leo Jumatatu
Septemba 12, 2016 tayari kwa kumuwakilisha Rais wa jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa
rais wa sita wa nchi hiyo Mhe. Edgar Lungu kesho Jumanne Septemba 13,
2016 katika uwanja wa Mashujaa jijini Lusaka
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Katibu Mkuu Katibu
Mkuu Wizara ya Vijana, Michezo na Maendeleo ya Watoto Mhe. Agnes
Musunga mara baada ya kutua katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Kenneth Kaunda jijini Lusaka, Zambia, leo Jumatatu Septemba 12, 2016
tayari kwa kumuwakilisha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Joseph Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa rais wa sita wa
nchi hiyo Mhe. Edgar Lungu kesho Jumanne Septemba 13, 2016 katika uwanja
wa Mashujaa jijini Lusaka
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Katibu Mkuu Katibu
Mkuu Wizara ya Vijana, Michezo na Maendeleo ya Watoto Mhe. Agnes
Musunga mara baada ya kutua katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Kenneth Kaunda jijini Lusaka, Zambia, leo Jumatatu Septemba 12, 2016
tayari kwa kumuwakilisha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Joseph Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa rais wa sita wa
nchi hiyo Mhe. Edgar Lungu kesho Jumanne Septemba 13, 2016 katika uwanja
wa Mashujaa jijini Lusaka
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Katibu Mkuu
Katibu Mkuu Wizara ya Vijana, Michezo na Maendeleo ya Watoto Mhe. Agnes
Musunga akipokea heshima mara baada ya kutua katika Uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka, Zambia, leo Jumatatu
Septemba 12, 2016 tayari kwa kumuwakilisha Rais wa jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa
rais wa sita wa nchi hiyo Mhe. Edgar Lungu kesho Jumanne Septemba 13,
2016 katika uwanja wa Mashujaa jijini Lusaka
EmoticonEmoticon