Mkurugenzi
Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao (kulia) akizungumza kwenye
uzinduzi wa promosheni ya ‘Jiongeze na M-Pawa’ inayoendeshwa na kampuni
yake ikishirikiana na Benki ya CBA, kwenye hafla iliyofanyika leo
Mlimani City jijini Dar es Salaam.Ili kushiriki kwenye promosheni hiyo,
mteja wa Vodacom Tanzania anatakiwa kujiwekea akiba katika akaunti yake
ya M-Pawa kwenye simu yake katika kipindi cha promosheni.Jumla ya
shilingi milioni 300 zimetengwa kwa ajili ya promosheni hiyo na mshindi
mmoja wa droo kubwa atajishindia kitita cha shilingi milioni
100.Washindi wa wiki watazawadiwa shilingi milioni 20 na washindi wa
siku watazawadiwa shilingi milioni moja.Promosheni hiyo ambayo imeanza
leo itadumu kwa kipindi cha wiki sita na itafikia kilele mwishoni mwa
Mwezi Oktoba, 2016.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao (wa tatu kushoto) akiwa na
maofisa waandamizi wa kampuni hiyo, wakionyesha mabango kwenye
uzinduzi wa promosheni ya ‘Jiongeze na M-Pawa’ inayoendeshwa na kampuni
yake ikishirikiana na Benki ya CBA, kwenye hafla iliyofanyika leo
Mlimani City jijini Dar es Salaam.Ili kushiriki kwenye promosheni hiyo,
mteja wa Vodacom Tanzania anatakiwa kujiwekea akiba katika akaunti yake
ya M-Pawa kwenye simu yake katika kipindi cha promosheni.Jumla ya
shilingi milioni 300 zimetengwa kwa ajili ya promosheni hiyo na mshindi
mmoja wa droo kubwa atajishindia kitita cha shilingi milioni
100.Washindi wa wiki watazawadiwa shilingi milioni 20 na washindi wa
siku watazawadiwa shilingi milioni moja.Promosheni hiyo ambayo imeanza
leo itadumu kwa kipindi cha wiki sita na itafikia kilele mwishoni mwa
Mwezi Oktoba, 2016.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao (kulia) na Mkurugenzi wa Mauzo
na Usambazaji wa kampuni hiyo, Hassan Saleh (kushoto) wakizindua rasmi
msafari wa magari kwenda mikoa mbalimbali nchini kutoa elimu juu ya
promosheni ya ‘Jiongeze na M-Pawa’ inayoendeshwa na kampuni yake
ikishirikiana na Benki ya CBA, kwenye hafla iliyofanyika leo Mlimani
City jijini Dar es Salaam.Ili kushiriki kwenye promosheni hiyo, mteja wa
Vodacom Tanzania anatakiwa kujiwekea akiba katika akaunti yake ya
M-Pawa kwenye simu yake katika kipindi cha promosheni.Jumla ya shilingi
milioni 300 zimetengwa kwa ajili ya promosheni hiyo na mshindi mmoja wa
droo kubwa atajishindia kitita cha shilingi milioni 100.Washindi wa
wiki watazawadiwa shilingi milioni 20 na washindi wa siku watazawadiwa
shilingi milioni moja.Promosheni hiyo ambayo imeanza leo itadumu kwa
kipindi cha wiki sita na itafikia kilele mwishoni mwa Mwezi Oktoba,
2016.
Wafanyakazi
wa Vodacom Tanzania wakihudhuria uzinduzi wa promosheni ya ‘Jiongeze
na M-Pawa’ inayoendeshwa na kampuni hiyo ikishirikiana na Benki ya CBA,
kwenye hafla iliyofanyika leo Mlimani City jijini Dar es Salaam.Ili
kushiriki kwenye promosheni hiyo, mteja wa Vodacom Tanzania anatakiwa
kujiwekea akiba katika akaunti yake ya M-Pawa kwenye simu yake katika
kipindi cha promosheni.Jumla ya shilingi milioni 300 zimetengwa kwa
ajili ya promosheni hiyo na mshindi mmoja wa droo kubwa atajishindia
kitita cha shilingi milioni 100.Washindi wa wiki watazawadiwa shilingi
milioni 20 na washindi wa siku watazawadiwa shilingi milioni
moja.Promosheni hiyo ambayo imeanza leo itadumu kwa kipindi cha wiki
sita na itafikia kilele mwishoni mwa Mwezi Oktoba, 2016.
Kampuni
ya Vodacom Tanzania kwa kushiriana na benki ya CBA imezindua promosheni
kubwa ambayo itawawezesha watumiaji wa huduma ya M-Pawa kujishindia
fedha taslimu kutoka kwenye kitita cha milioni 300 zilizotengwa kwa
ajili ya promosheni hii na mshindi mmoja wa zawadi kubwa atajishindia
kitita cha shilingi milioni 100.Promosheni hii inayojulikana kama
‘Jiongeze na M-Pawa’ itatoa washindi wa siku wa shilingi milioni 1/-
kila mmoja,washindi wa wiki shilingi milioni 20/- kila mmoja na wateja
wapatao 200 wataongezewa mara mbili ya akiba zao walizojiwekea kwenye
akaunti zao za M-Pawa kila siku.
Promosheni
hii ambayo imeanza leo Agosti 31 itadumu kwa kipindi cha wiki 6 na
itafikia mwishoni mwezi Oktoba ambapo itafanyika droo ya kumpata mshindi
wa zawadi kubwa.Katika kipindi chote cha promosheni mabalozi wa bidhaa
za Vodacom na maofisa wa kampuni watatembelea sehemu mbalimbali za
Tanzania kwa ajili ya kuwaelimisha faida za kujiwekea akiba kupitia
huduma hii hususani wanaoishi maeneo ya vijijini.
Ili
kushiriki kwenye promosheni anachotakiwa kufanya mteja ni kujiwekea
akiba kwenye akaunti yake ya M-Pawa kwenye simu yake katika kipindi cha
promosheni.Kwa kujiwekea akiba mojamoja kutawawezesha wateja kujipatia
pointi za kuingia kwenye promosheni na kuwa na uwezekano wa kujishindia
fedha taslimu kila siku,kila wiki na zawadi kubwa ya promosheni.Kadri
mteja anavyojiwekea akiba kwenye akaunti yake ya M-Pawa ndivyo anakuwa
na nafasi kubwa ya kushinda.
Kwa
mfano kwa kujiwekea akiba kati ya shilingi 1,000/-mpaka 19,000/-mteja
anajipatia pointi 20,wakati akijiwekea akiba kati ya shilingi
20,000/-mpaka shilingi 99,999/-mteja anajipatia pointi 40 na kadri
anavyoweka akiba ndivyo pointi zinaongezeka zaidi na kuwa katika
nafasi nzuri ya kushinda.
Kuweka
akiba kwenye akaunti ya M-Pawa na kuwa kwenye nafasi ya kushinda mteja
anaweza kupiga *150* 00# kisha kwenda kwenye menu ya M- Pawa, chagua
Weka kwenye M-pawa, weka kiasi cha fedha kisha weka namba yako ya siri
ya M-Pesa .
Wateja
watakaojishindia shilingi milioni 1/-na wale watakaoongezewa fedha
zaidi ya mara mbili ya akiba zao fedha zao zitaingizwa kwenye akaunti
zao za M-Pawa moja kwa moja ambapo watafahamishwa kuwa wameshinda
kupitia ujumbe mfupi wa maneno (SMS).Washindi wa wiki wa shilingi
milioni 20/- na mshindi wa zawadi kubwa ya promosheni watakabidhiwa
zawadi zao na maofisa wa Vodacom watakaochaguliwa kufanya kazi hiyo
kulingana na mikoa watakayotokea washindi.
Lengo
kubwa la promosheni hii ni kuwahamasisha watanzania kujenga utamaduni
wa kujiwekea akiba na kunufaika kwa mikopo yenye riba nafuu ya kati ya
asilimia 2% hadi 5% kulingana na akiba ya mteja aliyojiwekea.”Promosheni
inawakumbusha watanzania kuwa kuweka akiba kwenye M-Pawa ni chaguo la
busara hususani kwa wajasiriamali kwa kuwa inawezesha kupata mikopo
nafuu yenye riba ndogo”.amesema Ian Ferrao,Mkurugenzi mtendaji wa
Vodacom Tanzania .
“Huduma
ya M-Pawa ni akaunti ya benki kwenye ncha ya kidole chako ambayo
imebuniwa kuboresha maisha ya wateja!Zaidi ya watanzania milioni 4.8
wanaendelea kufurahia huduma hii na natoa wito kwa watanzania wengi
wajiunge zaidi na kufurahia huduma hii ya M-Pawa.Unavyojiwekea akiba
zaidi ndivyo kiwango cha kukopa kinavyoongezeka”.Alisisitiza Ferrao.
EmoticonEmoticon