Katibu
wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Cyprian
Kuyava, akitoa neno la shukrani mjini Morogoro, baada ya kuchaguliwa
kushika nafasi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka mitatu ijayo.
Mkurugenzi
wa Idara ya Uhakiki Mali za Serikali, Wizara ya Fedha na Mipango, Bw.
Ezra Msanya, akijibu maswali ya baadhi ya wajumbe wa Baraza la
Wafanyakazi wa Wizara hiyo, mjini Morogoro, mwishoni mwa juma.
Baadhi
ya wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Mipango,
wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali zilizotolewa wakati wa Mkutano
Mkuu wa Baraza la wafanyakazi wa wilaya hiyo uliofanyika mjini Morogoro,
mwishoni mwa juma.
Waziri
wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, (wa nne kutoka kushoto)
akiungana na wafanyakazi wanaounda Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo
kuimba wimbo wa mshikamano daima, wakati wa Mkutano Mkuu wa Baraza hilo
uliofanyika Mjini Morogoro Mwishoni mwa juma. kushoto kwake ni Naibu
Katibu Mkuu Dorothy Mwanyika na kulia kwake ni Naibu Katibu Mkuu Amina
Hamis Shaban.
Wajumbe
wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Mipango,
wakiimba wimbo wa mshikamano daima, mkutano uliopitia bajeti ya Wizara
hiyo na kufanya uchaguzi wa viongozi wapya mjini Morogoro, mwishoni mwa
juma.
Waziri
wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, akihutubia wajumbe wa Mkutano
Mkuu wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo (hawako pichani) mjini
Morogoro, ambapo amewataka wafanyakazi wa wizara hiyo kufanyakazi kwa
bidii na kuacha mazoea ili kutimiza malengo ya kukusanya mapato na
kusimamia matumizi yake kikamilifu.
Waziri
wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango (aliyeketi katikati), akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la
wafanyakazi wa Wizara hiyo uliofanyika mjini Morogoro, mwishoni mwa

wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, akiagana na katibu Tawala wa
mkoa wa Morogoro, Mhandisi Dkt. John Ndunguru, baada ya kuzinduliwa
rasmi kwa Baraza jipya la Wafanyakazi wa Wizara hiyo mjini Morogoro
Mwishoni mwa juma.
EmoticonEmoticon