Kikosi cha kwanza cha timu ya Soka ya Tanzania -Taifa Stars kilichoanza dhidi ya Harambee Stars ya Kenya Jumapili.
Mshambuliaji wa Taifa Stars, Elias Maguli (Kulia) akichuana na
David Odhiambo wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliofanyika
Uwanja wa Moi Kasarani, Nairobi Kenya. timu hizo zilitosahana nguvu kwa
kutoka sara ya 1-1.
EmoticonEmoticon