|
Mwanamuziki mahiri wa Rnb hapa nchini , Bernard Michael Paul, maarufu kama ‘Ben Pol’ akitoa burudani kwa maelfu ya wakazi wa Dar es salaam waliohudhuria maadhimisho ya miaka mitano ya Tamasha la Nyama choma 2016,ambapo Tigo ilimdhamini kutumbuiza katika tamasha hilo , mapema jana usiku katika viwanja vya Leaders Jijini Dar es salaam . |
|
BEN POL akicheza na mashabiki zake jukwaani wakati wa tamasha la nyama choma katika viwanja vya leaders Jijini Dar es salaam |
|
Mashabikiwa muziki wa bongo fleva wakishangilia wakati Benpol anatumbuiza kibao chake cha MOYO MASHINE |
|
Benpol akihojiwa na mtangazaji wa Clouds fm Askofu Tza baada ya kutumbuiza katika tamasha la Nyama choma mapema jana katika viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam. |
|
Baadhi ya mawakala wa tigo waliokuwepo katika viwanja vya Leaders kutoa msaada na huduma mbali mbali toka tigo ikiwemo huduma za intaneti ya kasi ya Tigo 4G LTE |
|
Wakala wa tigo akisajili laini ya mteja katika tamasha la Nyama choma mapema jana usiku katika viwanja vya Leaders Jijini Dar es salaam. |
|
Mtangazaji wa Choice fm na mshindi wa Bigbrother 2014 Idris sultan akifurahi jambo na Mcheza kikapu wa kimataifa Hasheem Thabit wakati wa Tamasha la Nyama Choma lililofanyika mapema jana usiku katika viwanja vya leaders jijini Dar es salaam.
|
|
Msanii mahiri wa Bongo fleva Vanessa Mdee akiongea jambo na mmoja wa shabiki zake katika viwanja vya Leaders Jijini Dar es salaam |
|
Mabanda ya tigo yaliyokuwepo uwanjani katika kutoa huduma mbalimbali kwa wateja wa tigo waliofika katika tamasha la Nyama Choma |
|
Mmoja wa wapishi wa nyama akichoma nyama wakati wa tamasha la Nyama Choma mapema jana katika viwanja vya leaders Jijini Dar es salaam. |
|
Wadau wakiendelea kufurahia muziki na kula nyama choma katika tamasha liliofanyika mapema jana |
|
Mmoja wa wakala wa Tigo akimsaidia mteja kufungua intaneti ya tigo katika simu yake katika tamasha la Nyama Choma .liliofanyika mapema jana usiku katika viwanja vya Leaders Jijini Dar es salaam,
|
Maelfu ya wakazi waliofika katika tamasha wakifurahia muziki toka kwa wasanii mbali mbali waliotumbuiza jukwaani |
|
photo
Krantz Mwantepele
Founder & CEO , KONCEPT
Phone: +255-712579102 /+255-767392840
Email: krantzcharles@gmail.com
Blog: www.mwanaharakatimzalendo.blogspot.com
Website;www.koncept.co.tz
IMAGINE INSPIRE INFLUENCE
Share this
EmoticonEmoticon