KAIMU KATIBU MKUU UVCCM SHAKA ATUA MKOANI TANGA,AKERWA NA JIMBO LA TANGA KUCHUKULIWA NA UPINZANI,AVUNA WANACHAMA WAPYA

May 08, 2016


Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akivalishwa skafu baada ya kuwasili makao makuu ya chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Tanga wakati wa ziara yake

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka katika kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga,Shija Othumani na kulia ni Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Tanga,Abdi Makange wakifuatilia kwa umakini gwaride la vijana wa green guard wa chama hicho

Hapa wakikagua gwaride hilo kabla ya kuanza kikao cha pamoja

Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Tanga,Abdi Makange akizungumza neno kabla ya kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka kushoto ambaye yupo kwenye ziara ya kikazi mkoani hapa

 Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akizungumza na vijana wa Jumuiya wa Umoja huo mkoani Tanga leo kwenye ukumbi wa CCM uliopo barabara 20 mjini Tanga.


BAADHI YA WANACHAMA WA JUMUIA YA UMOJA WA VIJANA MKOANI TANGA WAKIMFUATILIA KWA UMAKINI KAIMU KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »