NHIF MKOA WA TANGA YAHAMASISHA BIMA YA AFYA KWA WAJASIRIAMALI SOKO LA NGAMIANI TANGA LEO

April 06, 2016


AFISA UHAMASISHAJI KUTOKA NHIF MKOA WA TANGA,VISTUS TILUSASILA AKIHAMASISHA WAJASIRIAMALI KWENYE SOKO LA NGAMIANI KUJIUNGA NA KIKOA BIMA YA AFYA KWA WAJASIRIAMALI LEO KUSHOTO NI AFISA UANACHAMA NHIF MKOA WA TANGA JULIANA MATHIAS

DAKTARI BENJAMINI SANA KUTOKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA MKOANI TANGA(NHIF) AKIGAWA VIPEPERUFI KWA WAJASIRIAMALI WA SOKO LA NGAMIANI LEO



AFISA KUTOKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA MKOANI TANGA(NHIF)MARRY MONELLA AKIGAWA VIPEPERUSHI WAJASIRIAMALI WA SOKO LA NGAMIANI LEO


Picha kwa hisani ya Tanga Raha Blog.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »