Naibu Waziri Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura katikati akipata
maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa
Serikali Bw. Assah Mwambene wa kwanza kulia ya jinsi ya kutunza picha za
matukio mbalimbali wakati alipofanya ziara Idarani hapo leo, kushoto ni
Afisa Habari Mkuu Anna Itenda.(picha na Benjamini Sawe-WHSUM).
Naibu Waziri Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura katikati akipata
maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa
Serikali Bw. Assah Mwambene wa kwanza kulia ya jinsi ya kutunza picha za
matukio mbalimbali wakati alipofanya ziara Idara hapo leo, kushoto ni
Afisa Habari Mkuu Anna Itenda.(picha na Benjamini Sawe-WHSUM).
Naibu Waziri Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura katikati akipata
maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa
Serikali Bw. Assah Mwambene wa kwanza kulia ya jinsi ya kutunza picha za
matukio mbalimbali wakati alipofanya ziara Idarani hapo leo.(picha na
Benjamini Sawe-WHSUM).
Naibu Waziri Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia akimkabidhiwa
moja ya vipeperushi vinavyotolewa na Bodi ya Filamu Tanzania ambavyo
vina lengo vya kuwaelimisha wasanii, anayemkabidhi ni Katibu wa Bodi ya
Filamu Tanzania Bi Joyce Fissoo. (picha na Benjamini Sawe-WHSUM).
Naibu Waziri Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia akipata maelezo
kutoka kwa Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi Joyce Fissoo juu ya
utendaji kazi wa Bodi Hiyo wakati Mh. Waziri alipofanya ziara katika
Bodi hiyo leo jijini Dar es Salaam. (picha na Benjamini Sawe-WHSUM).
Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania
Bi. Joyce Fissoo kulia akimuonyesha takwimu mbalimbali za sekta ya
filamu Mh. Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mh. Anastazia Wambura zinazohusu sekta ya filamu wakati wa ziara
aliyoifanya Mh. Naibu Waziri katika bodi hiyo. (picha na Benjamini
Sawe-WHSUM).
EmoticonEmoticon