Mratibu
wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Onesmo Olengurumwa
akizungumza na wadau mbalimbali wakati wa Mkutano wa Policy Forum
walipokuwa wakiongelea Ilani yao na Asasi za Kiraia kutoa mwelekeo na
malengo yao makubwa kwa Rais wa awamu ya tano ili kuyapa kipaumbele
mambo muhimu ikiwemo Katiba, Usimamizi wa Rasilimali za Nchi na NK.
(PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Mkurugenzi
wa Ahadiway Life Development Initiative (NGO) Team James Obedi (wa pili
kulia) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wengine baada ya
mkutano huo kumalizika Dar es Salaam alitaka kuwepo kwa Katiba Mpya
ambayo itakuwa inatoa muongozo na Dira ya Taifa.
Pia
Serikali itunge Sera ya Taifa, kuliko kila Chama kuja na Sera yake na
kuwepo na mwendelezo wa upanuzi wa viwanda, vitakavyo saidia kukuza
uchumi wa Nchi kwa kizazi kilichopo na kijacho
Wadau
Afisa
Programu Idara ya Utafiti na Uchambuzi wa Sera. (HAKI ELIMU) Makumba
Mwemezi (wa pili kulia) wakishauriana jambo na wadau wakati wa mkutano
huo
Afisa Programu Idara ya Utafiti na Uchambuzi wa Sera. (HAKI ELIMU)
Makumba Mwemezi (wa pili kulia) akitowa mada katika Mkutano huo
EmoticonEmoticon