Katibu
wa Chama cha Riadha Mkoa wa Mwanza (Kulia) akimkabidhi Mgeni Rasmi
Genzi Sahani kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo fomu
namba moja kwa ajili ya Ushiriki wa Mbio za Rock City Marathoni 2015
zinazotarajia kufanyika Jijini Mwanza Novemba 15 mwaka huu.
…………………………………………………………………………………………………
Na:George Binagi-GB Pazzo
Hiyo
ilikuwa katika Uzinduzi wa Usaili wa Washiriki wa mbio hizo za Rock
City Marathon 2015 ambazo zilianza kufanyika Jijini Mwanza tangu mwaka
2009.
Mbio
hizo (mashindano) huandaliwa na Kampuni ya Capital Plus International
na kudhaminiwa na Makampuni mbalimbali ikiwemo Mdhamini Mkuu Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF, Precision Air, Bodi ya Utalii Tanzania,
New Mwanza Hotel na Bank M huku lengo lake likiwa ni kukuza mchezo huo
pamoja na kuhimiza utalii wa ndani.
Fomu
za Ushiriki zinapatikana katika Uwanja wa Nyamagana Mkoani Mwanza,
katika Ofisi za Capital Plus International zilizopo ghorofa ya tatu
jengo la ACT Mtaa wa Ohio Jijini Dar es salaam na Uwanja wa Amri Abein
Jijini Arusha.
Mgeni
Rasmi Genzi Sahani kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo
akionyesha fomu ya ushiriki wa mbio za Rock City Marathon 2015 baada ya
uzinduzi wa usajili kufanyika jana Jijini Mwanza
Mgeni
Rasmi Genzi Sahani kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo
akisaini fomu namba moja kwa ajili ushiriki wa mbio za Rock City
Marathon 2015 baada ya uzinduzi wa usajili kufanyika jana Jijini Mwanza
Mgeni
Rasmi Genzi Sahani kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo
akizungumza katika uzinduzi wa Usaili wa mbio za Rock City Marathon 2015
uliofanyika jana Jijini Mwanza
Mgeni
Rasmi Genzi Sahani kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo
akizungumza katika uzinduzi wa Usaili wa mbio za Rock City Marathon 2015
uliofanyika jana Jijini Mwanza
Adella
Lamsa ambae ni Mratibu wa Mashindano ya Rock City Marathon kutoka
Kampuni ya Capital Plus International akizungumza katika uzinduzi wa
Usaili wa mbio za Rock City Marathon 2015 uliofanyika jana Jijini Mwanza

Shaban
Luanda ambae ni Meneja wa NSSF akizungumza katika uzinduzi wa Usaili wa
mbio za Rock City Marathon 2015 uliofanyika jana Jijini Mwanza
Senthil
Kumar kutoka New Mwanza Hotel akizungumza katika uzinduzi wa Usaili wa
mbio za Rock City Marathon 2015 uliofanyika jana Jijini Mwanza
Peter
Mujaya ambae ni Katibu Chama cha Riadha Mkoani Mwanza akizungumza
katika uzinduzi wa Usaili wa mbio za Rock City Marathon 2015 uliofanyika
jana Jijini Mwanza
Lugendo
Sweya amabe alikuwa mwongoza shughuli katika uzinduzi wa Usaili wa mbio
za Rock City Marathon 2015 uliofanyika jana Jijini Mwanza
Mmoja wa Viongozi wa Chama cha Riadha Mkoani Mwanza akiwa katika mahojiano
Kutoka
Kushoto ni Shaban Luanda ambae ni Meneja wa NSSF Mkoa wa Mwanza, Kizito
Sosho Bahati ambae ni Kaimu Afisa Michezo Mkoa wa Mwanza na Genzi
Sahani ambae ni Katibu Idara ya Utumishi wa Waalimu Mkoa wa Mwanza
akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza
Fomu
za Ushiriki zinapatikana katika Uwanja wa Nyamagana Mkoani Mwanza,
katika Ofisi za Capital Plus International zilizopo ghorofa ya tatu
jengo la ACT Mtaa wa Ohio Jijini Dar es salaam na Uwanja wa Amri Abein
Jijini Arusha.
BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII
EmoticonEmoticon