Adonis Bitegeko apitishwa kugombea Ubunge katika Jimbo la Muleba Kasikazini katika Uchaguzi mkuu Octoba 29, 2025

August 24, 2025

 

Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Taifa imemteua Ndg Adonis Bitegeko kugombea Ubunge katika Jimbo la Muleba Kasikazini katika Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Octoba 2025

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »