Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya Cement ya Twiga Simon
Delens,akizungumza na wafyatua matofali wa Mkoani Mwanza juzi,kwenye
semina ya mafunzo ya kutengeneza matofali imara.
Mhandisi kutoka Kampuni ya Cement ya Twiga Emmanuel Owoya, akitoa maelezo
ya umuhimu wa kuvaa viatu vya usalama wakati wa kazi,kwenye mafunzo ya
matengeneza matofali wa Mkoani Mwanza juzi.
Mhandisi kutoka Kampuni ya Cement ya Twiga Emmanuel Owoya,akimvalisha
kifaa cha kuzuia vumbi puani na mdomoni mmoja wa watengeneza matofali
mkoani Mwanza Issac Waitara, kwenye mafunzo ya kutengeneza matofali wa
imara.
Mhandisi kutoka Kampuni ya Cement ya Twiga Emmanuel Owoya,akionyesha
nguo ya usalama (Overall)na umuhimu wa kuivaa wakati wa kazi,kwenye
mafunzo ya matengeneza matofali wa Mkoani Mwanza juzi.
Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya Cement ya Twiga Simon
Delens,akimpongeza Nickson Cheka(kulia) baada ya kujibu vizuri maswali
Mkoani Mwanza juzi,kwenye semina ya mafunzo ya kutengeneza matofali
imara.
Baadhi ya wafyatua matofali wa Mkoani Mwanza wakiwa na
wafanyakazi wa Kamuni ya saruji ya Twiga baada ya semina ya kuwafundisha mambo
yahusuyo usalama, afya na kutengeneza mtofali yaliyo bora.
EmoticonEmoticon