Mgombea Mwenza wa Urais
kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano
wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa
mkoani Dodoma leo.
Shamrashamra za ngoma
zikirindima, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano wakampeni, katika eneo la
Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Mgombea Mwenza wa Urais
kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano
wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa
mkoani Dodoma leo.
Shamrashamra za mapokezi
zilitia fora, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la
Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
Mmoja wa wajumbewa
Kamati ya Kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Ummy
Mwalimu, akihamasisisha, wakati, Mgombea huyo Mwenza wa Urais kwa tiketi
ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kufaya mkutano wakampeni
leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
Kina Mama wa Kigogo
wakiwa wamejipamba sura zao kumpokea Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi
ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kufaya mkutano wakampeni,
katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Mgombea Mwenza wa Urais
kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwa ameketi meza kuupamoja
na baadhi ya viongozi baada ya kuwasili kufaya mkutano wakampeni,
katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Shamrashamra za ngoma
zikiendelea baada ya Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama
Samia Suluhu Hassan alipowasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika
eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Mgombea Mwenza wa Urais
kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akipew zawadi ya mbuzi
alipowasili kufaya mkutano wakampeni, katika eneo la Chinolwa
Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Mgombea Mwenza wa Urais
kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wakampeni
leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma
leo.
Wananchi wakimsikiliza
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
alipowahutubia kwenye mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa
Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
Vijana wakiwa
wamelazimika kupanda mti ili kumuona vizuri, Mgombea Mwenza wa Urais kwa
tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipohutubia mkutano wakampeni
leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma
leo.
Mgombea Mwenza wa Urais
kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi
waliosimamisha msafara wake akiwa njiani kwenda Kingwingwili Kongwa
wasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa
Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Vijana wakiwa
wamelazimika kupanda miti ili kumuona vizuri, Mgombea Mwenza wa Urais
kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan wakati wa mkutano wa kampeni
uliofanyika Kingwingiwili, jimbo la Kongwa, mkoani Dodoma leo.
Mbunge wa Kongwa mkoani
Dodoma, Job Ndugai akimwaga sera, wakati wa mkutano wa kampeni wa
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, uliofanyika
katika eneo la Kigwingwili leo
Mwanachama wa Chadema
akiwa katika sare ya Chama hicho kwenye mkutano wa mkutano wa kampeni wa
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, uliofanyika
katika eneo la Kigwingwili leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika eneo la Kigwingwili leo
Mgombea Mwenza wa Urais
kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, akiwasili kwenye mkutano wa kampeni
uliofanyika leo katika eneo la Mazae jimbo la Mpwpwa mkoani Dodoma leo.
Mjumbe wa NEC, Evodi
Mmanda akihutubia mkutano wa kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa
tiketi ya CCM, Mama Samia uliofanyika eneo la Mazae jimbo la Mpwapwa
mkoani Dodoma leo
Mmoa wa wajumbe wa
Kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Angela Kairuki,
akihutubia mkutano wa kampeni za mgombea huyo, Mama Samia, eneo la Mazae
katika jimbo hilo leo.
Aliyekuwa mgombea
kutafuta ridhaa ya kuwania Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Nkenge
Asupta Mshama, akitoa vidonge vyake wakati wa mkutano huo
Wananchi wakishangilia
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, alioohutubia
mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Mazae, jimbo la Mpwapwa mkoani
Dodoma leo
Mama Samia Suluhu Hassan
akiwa na kadi za Wanachama saba wa Chadema waliomkabidhi baada ya
kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo
katika eneo la Mazaejimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma leo.
Mgombea Mwenza wa Urais
kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwapokea baadhi ya
wananchama hao saba wa Chadema waliomkabidhi kadi zao baada ya kutangaza
kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo
la Mazaejimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO