PPF YAKUTANA NA WAFANYAKAZI WA NOKIA JIJINI DAR ES SALAAM

August 21, 2015


 Mwanachama mpya wa PPF, akijaza fomu za mpango wa uchagiaji wa hiari wakati wa utoaji huduma kwa wafanyakazi wa kampuni ya NOKIA pale Mlimani City jijini Dar es Salaam, Agosti 21, 2015. Kulia ni Afisa wa Kanda wa PPF, Upendo Singinika Sasi
 Meneja Masoko wa PPF, Elihuruma Ngowi (kushoto), akimkabidhi zawadi mwanachama wa Mfuko huo, Raymond Ndambo
 Elihuruma (kushoto) na mtaalamu wa mifumo ya comuter wa PPF, (Kulia), wakiangalia jinsi wanachama wa mfuko huo wanavyopata taarifa za michangu yao kupitia simu zao
 Afisa Masoko mwandamizi wa PPF, Nelu Mwalugaja, (kulia), akimpatia maelezo ya huduma za Mfuko huo, Mwanachama wa PPF.
 Meneja Masoko wa PPF, Elihuruma Ngowi, akizungumza na waandishi wa habari.
Msimamizi wa Kanda wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Upendo Walter Mazula, (kulia), akimkabidhi zawadi mwanachama mpya wa PPF, Raymond Ndambo, (katikati), huku Meneja Masoko wa PPF, Elihuruma Ngowi, wakati wa siku ya wafanyakazi wa kampuni ya NOKIA.




 Wataalamu wa mifumo ya computer wa PPF, wakifuatialia taarifa za Mwanachama (wapili kushoto) 
 Afisa wa Kanda wa PPF, Upendo, (kushoto), akimpatia zawadi Mwanachama wa Mfuko huo baada ya kupatiwa huduma
Msimamizi wa Kanda wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Upendo Walter Mazula, (aliyekaa), akimpatia maelezo Mwanachama wa Mfuko huo, (kushoto), wakati wa utoaji huduma kwa wafanyakazi wa NOKIA pale Mlimani City jijini Dar es Salaam
Khalfan Said Photojournalist.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »