MWAKILISHI MAALUMU WA MAREKANI KATIKA ENEO LA MAZIWA MAKUU, AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM

August 24, 2015

l
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati) akimkaribisha Mwakilishi Maalumu wa Marekani katika Eneo la Maziwa Makuu, Thomas Perriello (wapili kushoto), Naibu Balozi wa Marekani nchini, Bibi Virginia Blaser (kushoto), pamoja na wasaidizi wa viongozi hao wanaoiwakilisha Marekani (kulia), kabla ya kuanza mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Marekani na Tanzania. Hata hivyo, Mwakilishi huyo aliipongeza Tanzania kwa kupokea na kuhifadhi Wakimbizi nchini. Mwakilishi huyo akiambatana na Naibu Balozi, walimtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
o
Mwakilishi Maalumu wa Marekani katika Eneo la Maziwa Makuu, Thomas Perriello (katikati) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) wakati wa mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Marekani na Tanzania. Hata hivyo, Mwakilishi huyo aliipongeza Tanzania kwa kupokea na kuhifadhi Wakimbizi nchini. Kushoto ni Naibu Balozi wa Marekani nchini, Bibi Virginia Blaser. Mwakilishi huyo akiambatana na Naibu Balozi, walimtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
s

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »