Mbio
za kampeni ya uchaguzi mkuu 2015 tayari zimeanza. Ni wasaa sasa kwa
wagombea wa vyama mbalimbali kupishana huku na kule vijiji kwa vijiji,
kata kwa kata, wilaya kwa wilaya, mkoa kwa mkoa wakifanya mkutano ya
kampeni za siasa kutambulisha wagombea wao na kuzinadi sera zao
al-muradi wapate ridhaa ya wananchi.
Zoezi
hilo ni gumu ila sisi kama jEMBe fM tunalirahisisha!! Sasa ili upate
kuwafikia wananchi wengi ndani ya muda mfupi jEMBe fM imefungua milango
kwa kutoa huduma ya matangazo ya moja kwa moja yaani LIVE toka viwanja vya mikutano tena full kiwango (HATUBAHATISHI) kwa maelezo zaidi piga simu kitengo cha masoko katika namba ±255282506068 au fika katika ofisi zetu zilizopo jengo la PPF ghorofa ya 6.
EmoticonEmoticon