Mhe.Jaji Fransis S.K Mutungu , Msajili wa Vyama Vya Siasa Nchini (kushoto) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mhe.Daudi Felix Ntibenda wakati alipomtembelea Ofisini kwake.
Mbunge wa Arusha Mjini, Mhe Godbless Lema akifafanua jambo kwa Mhe. Mutungi alipomtembelea ofisini kwake
Bw. Lewis Y. Mnyambwa ambaye ni Afisa Utumishi Jiji la Arusha, kwa niaba ya Mkurugenzi wa Jiji akimweleza jambo Mhe. Jaji Mutungi alipotembelea ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji la Arusha
EmoticonEmoticon