Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa
sherehe za maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani,
zilizofanyika kwenye wa Viwanja Vya Tangamani, mkoano Tanga, leo Juni 5,
2015.
Picha zote na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua
rasmi Jarida la muongozo wa Usafi wa Mazingira, wakati wa sherehe za
maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika
kwenye wa Viwanja Vya Tangamani, mkoano Tanga, leo Juni 5, 2015. Kushoto
kwake ni Waziri wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Binilith
Mahenge, Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano, Samia Suluhu, na
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Stephen Masele.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua
rasmi Filamu ya Mamba wa Zigi, wakati wa sherehe za maadhimisho ya
Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika kwenye wa Viwanja
Vya Tangamani, mkoano Tanga, leo Juni 5, 2015. Kushoto kwake ni Waziri
wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Binilith Mahenge, Waziri wa
Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano, Samia Suluhu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya
mshindi wa tatu katika usimamizi wa usafi wa mazingira, Mkuu wa Mkoa wa
Arusha, Felix Ntibenda, wakati wa sherehe za maadhimisho ya Kilele cha
Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika kwenye wa Viwanja Vya
Tangamani, mkoano Tanga, leo Juni 5, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya
mshindi wa pili katika usimamizi wa usafi wa mazingira, Mwakilishi wa
Manispaa ya Kinondoni, wakati wa sherehe za maadhimisho ya Kilele cha
Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika kwenye wa Viwanja Vya
Tangamani, mkoano Tanga, leo Juni 5, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya
mshindi wa kwanza katika usimamizi wa usafi wa mazingira, Mkuu wa Mkoa
wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, wakati wa sherehe za maadhimisho ya
Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika kwenye wa Viwanja
Vya Tangamani, mkoano Tanga, leo Juni 5,
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya
usimamizi wa usafi wa mazingira, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Kpt . Chiku
Galawa wakati wa sherehe za maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mazingira
Duniani, zilizofanyika kwenye wa Viwanja Vya Tangamani, mkoano Tanga,
leo Juni 5, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikabidhi zawadi ya
Pikipiki kwa mmoja kati ya washindi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea mabanda
wakati wa sherehe za maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mazingira
Duniani, zilizofanyika kwenye wa Viwanja Vya Tangamani, mkoano Tanga,
leo Juni 5, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo
kutoka kwa mtoa huduma wa dawa za asili, Karunde Amadi, wakati
alipotembelea kwenye banda wafanyabiashara za dawa asili, kwenye Sherehe
za maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika
kwenye wa Viwanja Vya Tangamano, mkoani Tanga, leo Juni 5,
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo
kutoka kwa Mkurugenzi wa Mazingira wa Ofisi yake, Dkt. Julius Ningu,
wakati alipotembelea kwenye banda la maonyesho la Ofisi ya Makamu wa
Rais, kwenye Sherehe za maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mazingira
Duniani, zilizofanyika kwenye wa Viwanja Vya Tangamano, mkoani Tanga,
leo Juni 5, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo
kuhusu utunzaji wa nyaraka kutoka kwa Mkurugenzi wa Msaidizi, Ofisi ya
Makamu wa Rais, Lupi Mwaikambo, wakati alipotembelea kwenye banda la
maonyesho la Ofisi ya Makamu wa Rais, kwenye Sherehe za maadhimisho ya
Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika kwenye wa Viwanja
Vya Tangamano, mkoani Tanga, leo Juni 5,