Waziri Mkuu Mstaafu, na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa,
(wapili kushoto), akiwa na Askofuwa
Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara, mkoani Kagera, Severine Niwemuguzi baada ya
kuzindua jiwe la msingi kuashiria maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50, Seminari
ya Mtakatifu Kaloli Lwahanga Katote Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara, Jumamosi
Juni 6, 2015
WaziriMkuu Mstaafu,Edward Lowassa, akisalimiana na
Askofuwa Jimbo Katoliki la Lulenge
Ngara, Severine Niwemuguzi, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege Biharamulo
Mkoani Kagera kwa ajili ya kusherekea Miaka 50 ya Seminari ya Katote
Lowassa,
akiwasha kompyuta baada y kuzindua chumba cha mafunzo ya Kompyuta
katikaKuadhimisha Jubilei ya Miaka 50 Seminari ya Mtakatifu Kaloli Lwahanga
Katote Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara mkoani KageraJumamosi Juni 6, 2015.
Kushoto niAskofuwa Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara, Severine
Niwemuguzi
EmoticonEmoticon