KIONGOZI WA MWENGE AKABIDHI KADI ZA CHF KWA WAKINA MAMA JIJINI TANGA

June 09, 2015
Kiongozi wa mbio za Mwenge mwaka 2015,Khatib Chumu
akimkabidhi kadi ya CHF Amina Mohamed kwenye viwanja vya Mkwakwani ambazo walikabidhi wakina mama waliolipiwa na Naibu Waziri wa Sheria na Katiba ,Ummy Mwalimu nyuma yake ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Tanga(NHIF) Ally Mwakababu.



Wakina mama wakiwa na kadi zao za CHF mara baada ya
kukabidhiwa na kiongozi wa mbio za Mwenge 2015 Khatibu Chumu ambazo walikabidhi wakina mama waliolipiwa na Naibu Waziri wa Sheria na Katiba ,Ummy Mwalimu nyuma yake ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Tanga (NHIF) Ally Mwakababu.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »