KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN AMALIZA ZIARA YAKE KATIKA JIMBO LA MULEBA KUSINI

June 09, 2015


????????????????????????????????????
Umoja ni Nguvu’ , Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na viongozi wengine wa chamaKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Mushabago, Muleba ya Kaskazini. serikali akishiriki zoenga, Muleba Kaszi la kutandanza umeme wa mradi wa umeme vijijini katika kijiji cha Nyakatakazini, akiwa katika ziara yake ya kikazi yenye lengo la Kukagua, Kuhimiza , utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM katika mikoa ya Kagera, Geita na Mwanza (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MULEBA)
  • ????????????????????????????????????

  • Umoja ni Nguvu’ , Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na viongozi wengine wa chama na serikali akishiriki zoezi la kutandanza umeme wa mradi wa umeme vijijini katika kijiji cha Nyakatanga, Muleba Kaskazini.
  • ????????????????????????????????????
  •   Mbunge wa Jimbo la Muleba Kaskazini Charles Mwijage akihutubia wakazi wa Mushabago ambapo alisisitiza kufanya uchaguzi mzuri wa madiwani wa CCM kwani watasaidia kusukuma utekelezaji wa ilani ya CCM na kurahisisha kuleta maendeleo.

  • ????????????????????????????????????
    Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Mbunge wa jimbo la Muleba Kusini Mh. Charles Mwijage wakiwasalimia wananchi. 
  • ????????????????????????????????????

  • Mbunge wa Jimbo la Muleba Kaskazini ambaye pia ni Naibu Waziri Nishati Charles Mwijage (kushoto)akicheza ngoma na mmoja wa wananchi wa Kata ya Kamachumu wakati alipotembelea kata hiyo na kuhutubia mkutano wa hadhara.
  • ????????????????????????????????????

  • Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akicheza ngoma ya asili inayojulikana kwa jina la Bikorwengonzi wakati wa mkutano wa hadhara Kamachumu.
  • ????????????????????????????????????
    Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. John Mongella akimtunza Mbunge wa jimbo la Muleba Kusini Mh Charles Mwijage akitunzwa na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM.
  • ????????????????????????????????????
    Mbunge wa jimbo la Muleba Kusini mh. Charles Mwijage akicheza na mbunge wa jimbo la Muleba Kaskazini Prof.Anna Tibaijuka.
  • ????????????????????????????????????
    Nape Nnauye akiwahutubia wananchi katika kata ya Kamachumu.
  • ????????????????????????????????????

  •   Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi pampu ya maji zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo Mhe. Charles Mwihage kwa ajili ya umwagiliaji ambayo zilitolewa kwa vikundi mbali vya kijasirimali.
  • ????????????????????????????????????
    Baadhi ya vijana wakiwa  wanavua samaki katika mabwawa ya bonde la  Ruhanga
  • ????????????????????????????????????

  • Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maeezo juu ya mradi wa ufugaji samaki katika kata ya Ruhanga.
  • ????????????????????????????????????

  • Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Izigo ambapo aliwaambia kuwa mwaka huu CCM itashinda vizuri kutokana na sera zake nzuri na zinazotekelezeka.
    ????????????????????????????????????
    Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Mushabago, Muleba ya Kaskazini.

    ????????????????????????????????????
    Baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano huo
    ????????????????????????????????????
    Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Mushabago, Muleba ya Kaskazini.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »