Meneja wa Mipango na Mikakati wa
Mamlaka ya Bandari Tanzania, Bw. Ntandu Mathayo (Kulia) akiukaribisha
ugeni kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango walipokwenda kujionea
maendeleo ya miradi ya kimkakati inayotekelezwa katika Bandari ya Dar es
Salaam. Kushoto ni Kiongozi wa Msafara huo, Bibi Florence Mwanri.
Wengine pichani ni Bw. Aloyce Andrea (Wapili Kushoto), Bw. Robert Senya
(Katikati) na Bw. Abel Shirima.
Meneja wa Mipango na Mikakati wa
Mamlaka ya Bandari Tanzania, Bw. Ntandu Mathayo (Wapili Kushoto)
akizungumza wakati ugeni kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango
walipokwenda kujionea maendeleo ya miradi ya kimkakati inayotekelezwa
katika Bandari ya Dar es Salaam. Wanaomsikiliza ni Kaimu Meneja wa
Bandari ya Dar es Salaam, Bibi Lucy Kazibure (Kushoto) na wageni kutoka
Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango.
Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es
Salaam, Bibi Lucy Kazibure (Kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Ofisi
ya Rais, Tume ya Mipango walipokwenda kujionea maendeleo ya miradi ya
kimkakati inayotekelezwa katika Bandari ya Dar es Salaam. Ugeni huo
uliongozwa na Naibu Katibu Mtendaji (Huduma za Jamii na Masuala ya Idadi
ya Watu) Bibi Florence Mwanri (Wapili Kushoto).
Mkuu wa Sehemu ya Kushushia Mafuta
katika Bandari ya Dar es Salaam, Kapteni P. R. Paul (Kulia) akitoa
maelezo kuhusu hali ya upakuaji wa mafuta kwa ugeni kutoka Ofisi ya
Rais, Tume ya Mipango walipokwenda kujionea maendeleo ya miradi ya
kimkakati inayotekelezwa katika Bandari ya Dar es Salaam.
Kiongozi wa Msafara kutoka Ofisi
ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (Kushoto) akizungumza
wakati walipokwenda kujionea maendeleo ya miradi ya kimkakati
inayotekelezwa katika Bandari ya Dar es Salaam. a
Kiongozi wa Msafara kutoka Ofisi
ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (Kushoto) akikaribishwa
na Mkuu wa Sehemu ya Kushushia Mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam,
Kapteni P. R. Paul (Kulia) wakati walipotembelea kujionea maendeleo ya
miradi ya kimkakati inayotekelezwa katika Bandari ya Dar es Salaam.
Pichani meli ikipakua shehena ya mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam.
PICHA NA SAIDI MKABAKULI
EmoticonEmoticon