Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Ayoub Mohammed Mahmoud kuwa Mkuu wa Wilaya Mpya ya Magharibi
“B” katika Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika Ikulu Mjini
Zanzibar leo na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali,
(Picha na Ikulu.)
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimkabidhi hati ya kiapo Ayoub Mohammed Mahmoud baada ya kumuapisha
kuwa Mkuu wa Wilaya Mpya ya Magharibi “B” katika Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali,
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum Haji Omar Kheir
(kushoto) akiwa na Washauri wa Rais Balozi Mohammed Ramia
Abdiwawa,Abrahman Mwinyi Jumbe na Burhani Saadat Haji wakiwa ni miongoni
mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Mkuu wa Wilaya
mpya ya Magharibi “B” Ayoub Mohammed Mahmoud Ikulu Mjini Unguja leo.
Makamo
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad (kulia) Jaji
Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu (katikati) na Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis wakiwa hafla ya kuapishwa
Mkuu wa Wilaya mpya ya Magharibi “B” Ayoub Mohammed Mahmoud Ikulu Mjini
Unguja leo kazi iliyofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
EmoticonEmoticon