Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo
amekagua baadhi ya maeneo yaliyoathiriwa vibaya na mafuriko jijini Dar
es Salaam na kuwapa pole wakazi wa maeneo hayo..Maeneo Aliyotembelea
Rais leo ni Mbagala Mwanamtitu na Daraja la Msimbazi ambapo amejionea
uharibifu uliofanywa na mvua zinazoendelea kunyesha.Pichani Rais Kikwete
akiangalia Darala la Mwanamtitu Mbagala lililosombwa na maji na daraja
la muda la miti lililojengwa na wakazi wa Eneo hilo na kisha kuwapa pole
kwa adha wanazozipata
.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akitoa maelekezo kwa mhandisi wa TANROADS kutoa uchafu ulijaa chini ya
daraja la Msimbazi eneo la Jangwani(
Rais Dkt..Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Daraja la mto Msimbazi Eneo la Jangwani wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo.

EmoticonEmoticon