Mwenyekiti wa CCM Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete akinyanyua juu nakala za kanuni za Shirikisho la
Wanafunzi wa Vyuo Vya Elimu ya Juu kuzizindua rasmi wakati wa Mkutano wa
Kwanza wa Shirikisho hilo uliofanyika katika ukumbi wa Kilimani mjiini
Dodoma leo. Kulia ni katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana,watatu
kulia ni Makamu Mweyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula na kushoto ni
mlezi wa shirikisho hilo ambaye pia ni Naibu Waziri wa Sayansi na
Teknologia Ndugu January Makamba.
Rais Kikwete akisisitiza jambo wakati wa Mkutano wa kwanza wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vya Elimu ya Juu mjini Dodoma.
Rais Kikwete akisalimiana na baadahi ya wanafunzi baada ya kufungua mkutano(picha na Freddy Maro)
EmoticonEmoticon