Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na wabunge, Joshua Nassari wa Arumeru Mashariki (kushoto) na
Murtaza Mangungu wa Kilwa Kaskazini kwenye viwanja vya Bunge Mjini
Dodoma Kei 12, 2015. Wapili kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu,
Dr. Florens Turuka na Kulia ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala
za Mikoa na Serikali za Mitaa, Jumanne Sajini.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta
na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Florens Turuka kwenye viwanja
vya Bunge mjini Dodoma Mei 12, 2015.
EmoticonEmoticon