Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dr.Florens Turuka
akipongezana na Waziri wa Maji Mhe.Jumanne Magembe mara baada ya
kupitishwa kwa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mei 16, 2015 katika
Viwanja vya Bunge Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dr.Florens Turuka
akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi Rais Utumishi Mhe.Celina Kombani
mara baada ya kuhairishwa kwa kikao cha Tano cha Bunge la Bajeti Mei,
16, 2015.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sera na Mipango Ofisi ya Waziri
Mkuu Bi.Grace Mosha akizungumza jambo na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya
Uratibu wa Maafa Bi.Naima Mrisho Mara baada ya kupitishwa kwa bajeti
ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mei, 16 2015 Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwezeshaji na Uwekezaji
Mhandisi Christopgher Chiza akiteta jambo na Mbunge wa Mpendae Mhe.
Abdallah Turky nje ya Ukumbi wa Bunge Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi.Regina Kikuli
akiteta jambo na Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw.Julius
Mallaba mara baada ya kutoka katika mkutano wa tano wa Bunge la Bajeti
Mei, 2015 Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dr.Florens Turuka akizungumza
jambo mara baada ya bajeti ya Ofisi yake kupitishwa, wa kwanza kushoto
ni Mbunge Viti Maalum Mhe.Lediana Mng’ong’o na katikati ni Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu na Bunge Mhe.Jenista Mhagama.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon