Rais Kikwete aongoza kumuaga Marehemu Komba Karimjee

March 02, 2015

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma  wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.Kapteni Komba anatarajiwa kuzikwa kijijini Kwake Lituhi wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma. 2 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma  wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.Kapteni Komba anatarajiwa kuzikwa kijijini Kwake Lituhi wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma. 3.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimfariji mjane wa marehemu Salome Komba katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro)

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »