Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akikagua eneo la chanzo cha maji cha mradi wa maji wa Bunda katika
katika ziwa Victoria kwenye kijiji cha Nyabehu mkoani Mara ikiwa ni
moja ya shughuli za wiki ya maji, Machi 20, 2015. Kulia kwake ni Mbunge
wa Bunda na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephene Wasira.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka
jiwe la Msingi la Mradi wa Maji wa Bunda katika kijiji cha Nyabehu
mkoani Mara ,Machi 20, 2015 ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya Maji. .
Wapili kushoto ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe na kushoto
ni Mbunge wa Mwibara, Kange Lugora. Wapili kulia ni Waziri wa Kilimo,
Chakula na Ushirika, Stephene Wasirra.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akikagua moja kati ya mashine tisa za kusukuma maji katika mradi wa
Maji wa Bunda uliopo kwenye ziwa Victoria katika kijiji cha Nyabihu
wilayani Bunda ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya maji Machi 20,
2015. Kulia kwake ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe.
EmoticonEmoticon