NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO ENEO LA SOWETO JIJINI MBEYA LEO

March 20, 2015

Nyumba ikiendelea kuteketea kwa moto mapema leo katika eneo la Soweto jijini Mbeya,Chanzo cha moto huo hakikuweza kufahamika mara moja.Picha na Fadhiri Atick Mr.Pengo,Mbeya.
Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea kufanywa na baadhi ya majirani wa eneo ilipo nyumba hiyo,huku wakiendelea kukisubiria kikosi cha Zimamoto.
Hakuna kilichobaki ndani ya Nyumba hiyo.
                                         baadhi ya vitu vilivyo teketea na moto huo
       baadhi ya majirani wakitoa pole kwa familiya iliyoathirika na janga hilo.

                                        hivi ndivyo hali ilivyo kuwa leo jijini mbeya.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »