Balozi wa China nchini Tanzania
Mheshimiwa Dr.Lu Youqing (kushoto) akizungumza na Naibu waziri wa nchi
Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Stephen Masele walipokutana
kwenye ukumbi wa ubalozi huo kuzungumzia mkutano wa kimataifa wa
viongozi vijana wa Afrika na China unatorajiwa kufanyika kuanzia Machi
27 na kumalizika Machi 31 katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto, mkoani
Arusha.
Balozi wa China hapa nchini
Mheshimiwa Dr.Lu Youqing akipeana mkono na Naibu waziri wa nchi Ofisi ya
Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Stephen Masele mara baada ya kikao chao
kufikia tamati ambapo walijadili hatua walizozifikia katika kuandaa
mkutano huo wa kimataifa wa viongozi vijana wa Afrika na China
unatorajiwa kufanyika kuanzia Machi 27 na kumalizika Machi 31 katika
Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto, mkoani Arus
Balozi wa China hapa nchini
Mheshimiwa Dr.Lu Youqing akijibu swali aliloulizwa na mwandishi wa
habari (Hayupo pichani) wakati wa kujadili mustakabali wa uandaaji wa
mkutano wa kimataifa wa viongozi vijana wa Afrika na China unatorajiwa
kufanyika kuanzia Machi 27 na kumalizika Machi 31 katika Ukumbi wa
Hoteli ya Ngurdoto, mkoani Arusha. (Kushoto) ni Naibu waziri wa nchi
Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Stephen Masele ambaye ni
mwenyekiti wa maandalizi ya mkutano huo.
EmoticonEmoticon