WAZIRI
WA Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akizungumza katika mkutano
wake na viongozi wa dini mbalimbali uliofanyika kwenye Hoteli ya Double
Tree mjini Dar es Salaam, leo. Katika mkutano huo uliohudhuriwa na
viongozi wa juu wa dini mbalimbali masuala mbalimbali kuhusiana na
madhara ya ujangili wa wanyama kama tembo na faru yalijadiliwa.
Viongozi wa dini mbalimbali wakimsikiliza Nyalandu
Waziri Nyalandu akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini mbalimbali baada ya mkutano huo
EmoticonEmoticon