Waziri
Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza na
baadhi ya wanafunzi wa shule sekondari ya wavulana ya Engutoto wilayani
Monduli wakati alipotembelea leo.Lowassa ambaye alirejelea kauli yake ya
kwamba yeye si tajiri bali ni tajiri wa marafiki, alichangia shilingi
milioni tatu kwa ajili ya sare za shule kwa wanafunzi ambao nguo zao
ziliteketea.Aidha mwenyekiti mtendaji wa makampuni IPP amechangia
shilingi milioni 25 kwa ajili ya vitanda.
Mmiliki
wa kiwanda kikubwa cha A to Z cha Arusha,Anoji Shah (aliesimama)
akiwaeleza wanafunzi wa shule ya sekondari ya wavulana ya Engutoto
wilayani Monduli umuhimu wa elimu na pia kutangaza msaada wa enzi wa
mabweni yote mawili yaliyoteketezwa kwa moto wiki mbili zilizopita.
Waziri
Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza na
baadhi ya wanafunzi wa shule sekondari ya wavulana ya Engutoto wilayani
Monduli.
EmoticonEmoticon