Rais
wa Baraza la Ujenzi Endelevu na Mazingira Tanzania (Tanzania Green
Building Council ), Ngwisa Mpembe (wa pili kulia) akilitambulisha baraza
hilo la kitaalamu ambalo Shirika la Nyumba la Taifa ni mmoja wa waasisi
wake kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) mojawapo wa majukumu ya
Baraza hilo ni kushawishi, kuratibu na kusimamia ujenzi wa nyumba za
kisasa zilizo rafiki wa mazingira. Baraza lina wadau wengi wakiwamo
Wasanifu Majenzi , Wakadiriaji majengo, wahandisi watengenezaji vifaa na
watumiaji wa vifaa. Machi 19-20 mwaka huu, Baraza kwa kushirikiana na
wadau mbalimbali litafanya Kongamano la Kwanza la Ujenzi Endelevu na
Mazingira jijini Arusha litakaloshirikisha wadau zaidi ya 400 kutoka
pembe mbalimbali za Dunia. Kushoto ni Ipyana Moses Afisa Mtendaji Mkuu
wa Tanzania Green Building Council, Makamu wa Rais wa Baraza
hilo, Farizan d’Avezac de Moran na Mike T’chawi wa Chama cha Wasanifu
Majengo.
Bango lililoonyesha maandalizi ya mkutano utakaofanyika Machi 19-20 mwaka huu huko Arusha
Viongozi
wa Tanzania Green Building Council wakijadiliana jambo kwenye mkutano
na waandishi wa habari kulitambulisha baraza hilo la kitaalamu ambalo
Shirika la Nyumba la Taifa ni mmoja wa waasisi wake kwa waandishi wa
Habari.
Viongozi
wa Tanzania Green Building Council wakijadiliana jambo kwenye mkutano
na waandishi wa habari kulitambulisha baraza hilo la kitaalamu ambalo
Shirika la Nyumba la Taifa ni mmoja wa waasisi wake kwa waandishi wa
Habari.
Ipyana
Moses Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Green Building Council
akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari kulitambulisha baraza
hilo la kitaalamu ambalo Shirika la Nyumba la Taifa ni mmoja wa waasisi
wake kwa waandishi wa Habari kulia kwake ni Makamu wa Rais wa Baraza
hilo, Farizan d’Avezac de MoranRais wa Baraza la Ujenzi Endelevu na
Mazingira Tanzania (Tanzania Green Building Council ), Rais wa Baraza la
Ujenzi Endelevu na Mazingira Tanzania (Tanzania Green Building Council )
Ngwisa Mpembe na Mike T’chawi wa Chama cha Wasanifu Majengo.
EmoticonEmoticon