Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Eugene S.Kayihura alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)
akibadilishana mawazo na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Eugene
S.Kayihura (katikati) baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo Ikulu
Mjini Zanzibar (kushoto) Mshauri wa Rais Uhusiano wa Kimataifa, Uchumi na Uwekezaji Balozi wa Mohamed Ramia Abdiwawa. Picha na Ikulu.]
EmoticonEmoticon