Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Kimataifa la kuchochea
mwamko wa nafasi ya mabingwa wa uchunguzi tiba katika kuboresha huduma
za tiba. Kongamano hilo linalofanyika katika Hoteli ya Kunduchi Beach
jijini Dar es Salaam, limewakutanisha mabingwa wa tiba za afya kutoka
nchi mbalimbali za Afrika na nje ya Afrika.

baadhi
ya washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia
katika ufunguzi wa Kongamano hilo leo Novemba 26, 2014.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya viongozi waratibu wa Kongamano hilo wakati
alipowasili kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach leo Novemba 26, 2014 kwa
ajili ya kufungua rasmi kongamano hilo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano hilo mara baada
ya ufunguzi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya viongozi waratibu wa kongamano hilo, baada ya
ufunguzi. Picha na OMR.
EmoticonEmoticon