Msanii wa filamu
nchini Tanzania maarufu kama Mzee Chilo akiwa katika picha ya pamoja na
mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Angellah Kairuki leo 24 Septemba,
2014 katika viwanja vya Bunge hilo mjini Dodoma.
Kiongozi wa msafara wa
wasanii walifika katika Bunge Maalum la Katiba Bw. Simon Mwakifwamba
akiwa katika picha ya pamoja na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe.
Angellah Kairuki leo 24 Septemba, 2014 katika viwanja vya Bunge hilo
mjini Dodoma.
Baadhi ya wasanii
wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Fenella Mukangara
(wa pili toka kushoto) wakati alipokutana nao maeneo ya viwanja vya
bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Baadhi ya Wasanii wakijadiliana jambo mara baada ya kutoka nje ya Bunge Maalum la Katiba leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Wasanii wakiendelea
kumsikiliza Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni
mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Fenella Mukangara wakati
alipokutana nao maeneo ya viwanja vya bunge hilo leo 24 Septemba, 2014
mjini Dodoma.
Waziri wa Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la
Katiba, Mhe. Fenella Mukangara akiwa katika picha ya pamoja na wasanii
maeneo ya viwanja vya bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
EmoticonEmoticon