Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya
Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya
Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo
uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).

Baadhi
ya Washiriki, waandishi wa habari na Wahariri wa habari kutoka Vyombo
mbalimbali vya habari waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais
Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua rasmi mkutano huo leo.

Rais
wa Baraza la Habari Tanzania, (MCT) Jaji Thomas Mihayo, akizungumza kabla ya
kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kufungua rasmi mkutano huo, uliofanyika leo Septemba 17, 2014 kwenye
Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam
Katibu
Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania, (MCT) Kajubi Mukajanga, akizungumza kabla ya
mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, kufungua rasmi mkutano huo,
uliofanyika leo Septemba 17, 2014 kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro
jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Washiriki, waandishi wa habari na Wahariri wa habari kutoka Vyombo
mbalimbali vya habari waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais
Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua rasmi mkutano huo leo.
Baadhi
ya Washiriki, waandishi wa habari na Wahariri wa habari kutoka Vyombo
mbalimbali vya habari waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais
Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua rasmi mkutano huo leo.
Baadhi
ya Washiriki, waandishi wa habari na Wahariri wa habari kutoka Vyombo
mbalimbali vya habari waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais
Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua rasmi mkutano huo leo.
Baadhi
ya Washiriki, waandishi wa habari na Wahariri wa habari kutoka Vyombo
mbalimbali vya habari waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais
Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua rasmi mkutano huo leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo baada ya ufunguzi rasmi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo baada ya ufunguzi rasmi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo baada ya ufunguzi rasmi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na baadhi ya viongozi wakati akiondoka katika Hoteli ya Hyatt
Kilimanjaro, baada ya kufungua mkutano huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania, (MCT) Kajubi Mukajanga, wakati akiondoka mara baada ya
kufungua mkutano huo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Asah
Mwambene.

EmoticonEmoticon