FREEMAN AIKAEL MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA

September 15, 2014
Hatimaye Mhe Freeman Aikael Mbowe Amechaguliwa Tena kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa kwa kupata kura 789 sawa na asilimia 97.3 ya kura zote. Aliyeshinda nafasi ya Makamu mwenyekiti Bara ni Profesa Abdallah Safari kwa kupata kura 775 sawa a asillimia 95 na nafasi ya Makamu mwenyekiti Zanzibar ameshinda Mh Saidi Issa Mohamedi kwa kupata kura 645 sawa na asilimia 79.
MATOKEO YA UCHAGUZI  
MWENYEKITI 

Mh Freeman Mbowe amepata kura 789
Mh Gambaranyere Mwangateka amepata kura 20

MAKAMU BARA

Prof Abdallah Safari amepata kura 775
Hakuwa na Mpinzani

MAKAMU ZANZIBAR

Mh Said Issa Mohamed amepata kura 645
Mh Hamad  Yusuph amepata kura 163.

WENYEVITI WA MABARAZA YA CHADEMA

Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema 
Mh Hashim Juma Issa
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema - BAWACHA 
Mh Halima James Mdee

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema- BAVICHA 
Mh PASCHAL KATAMBI PATROBAS

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »