PINDA AKUTANA NA MKAPA MWANZA

August 23, 2014

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa kwenye Ikulu ya Mwanza  August 8, 2014 ambako August 9, 2014 atakuwa mgeni rasmi katiaka harambee ya Mkapa Foundation inayotarajiwa kufanyika  jijini Mwanza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu Mizengo  Pinda akizungumza na  Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa kwnye Ikulu ya Mwanza  August 8, 2014 ambako August 9, 2014 atakuwa   mgeni rasmi katiaka harambee ya Mkapa Foundation inayotarajiwa kufanyika  jijini Mwanza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »