Mwenyekiti wa Kamati Namba Tano
ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Hamad Rashid (kushoto) akizungumza na
waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu mambo yaliyojiri katika Kamati
yake jana kwenye ukumbi wa mikutano wa Hazina mjini Dodoma.Kulia ni
Makamu wake Mhe. Assumpter Mshama.
Baadhi ya waandishi wa habari
wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati Namba Tano ya Bunge Maalum la Katiba,
Mhe. Hamad Rashid , ambaye hayupo pichani wakati akizungumza mambo
yaliyojiri katika Kamati yake akwenye ukumbi wa mikutano wa Hazina mjini
Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati Namba 12
ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Paul Kimiti(katikati) akijadiliana
jambo na baadhi ya wajumbe wa Kamati yake yake kwenye ukumbi wa
mikutano wa Hazina mjini Dodoma.
Picha na Kamati ya Bunge Maalum la Katiba.
EmoticonEmoticon