Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpokea Mama Graca Machel aliyemtembelea kwenye ofisi za WAMA tarehe 25.8.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na
mgeni wake Mama Graca Machel wanaonekana wakifurahia jambo kabla ya
kupiga picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Bodi ya WAMA.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Bodi
ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akiwa
katika picha ya pamoja na Mgeni wake Mama Graca Machel na wajumbe wawili
wa Bodi ya WAMA. Wajumbe hao ni Mheshimiwa Sophia Simba,Waziri wa
Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto (kulia) na Mama Hulda Kibacha (wa
kwanza kushoto).
Mama Garaca Machel akiweka saini kitabu cha wageni wakati alipotembelea ofisi za WAMA tarehe 25.8.2014.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Bodi
ya WAMA akimkabidhi zawadi ya picha mgeni wake Mama Graca Machel
aliyemtembelea ofisini kwake tarehe 25.8.2014.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA
Mama Salma Kikwete akifanya mazungumzo na Mgeni wake Mama Graca Machel
kwenye ofisi za Taasisi hiyo zilizoko karibu na Ikulu.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
akimkabidhi baadhi ya majarida yanayochapishwa na Taasisi ya WAMA kwa
Mgeni wake Mama Graca Machel.
Picha ya pamoja kati ya Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete na wafanyakazi wa Taasissi ya WAMA na Mama Graca
Machel na ujumbe wake mara baada ya kufanya mgeni uyo kutembelea ofisi
hiyo tarehe 25.8.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
akimwaga Mgeni wake Mama Graca Machel wakati akiondoka kwenye ofisi ya
WAMA baada ya viongozi hao kufanya mazungumzo.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kuagana na Mgeni wake Mama
Graca Machel nje ya ofisi za WAMA tarehe 25.8.2014.
PICHA NA JOHN LUKUWI.
EmoticonEmoticon