BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA MHE. MARK CHILDRESS WAPILI KUSHOTO AKIWA KATIKA KIKAO NA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT. TITUS KAMANI WA KWANZA KULIA |
BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA MHE. MARK CHILDRESS AKISISITIZA JAMBO KATIKA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT. TITUS KAMANI HAYUPO PICHANI |
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI, MHE. DKT. TITUS KAMANI AKIMKABIDHI BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA MHE. MARK CHILDRESS BAADHI YA NYARAKA ZINAZOHUSU SEKTA ZA MIFUGO NA UVUVI |
BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA MHE. MARK CHILDRESS AKIELEZA JAMBO KWA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT. TITUS KAMANI BAADA YA KUPOKEA NYARAKA ZA SEKTA ZA MIFUGO NA UVUVI |
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT. TITUS KAMANI AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA MGENI WAKE BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA MHE. MARK CHILDRESS |
EmoticonEmoticon