RC KILIMANJARO AFANYA ZIARA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA MJINI MOSHI(MUWSA).
Chanzo cha Maji cha Cofee Curing. |
Jengo dogo ambalo linatumika kuhifadhi dawa maalumu ya kuweka kwenye maji kwa ajili ya Chlorination. |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa maofisa wa MUWSA. |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akipata maelezo kutoka kwa mafundi wa kampuni ya kuchimba visima ya DOCA inayochimba visima katika eneo la Kil Tank. |
Uchimbaji wa Kisima ukiendelea. |
Mkuu wa mko wa Kilimanjaro Leonidas Gama akisaidiwa kuvuka wakati akitembelea chanzo kikuu cha maji cha Nsere. |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akipata maelezo kutoka kwa mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi,Mhandisi Cyprian Luhemeja alipotembelea chanzo cha maji cha Nsere. |
Afisa wa kusimamia uwekaji wa dawa katika maji,Shabani Mwamba akitoa maelezo kwa mku u wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama namna Chlorination inavyofanyika |
Meneja ufundi wa mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi, Patrick Kibasa akitoa maelezo kwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama alipotembelea eneo la Mabogini kunako hifadhiwa maji taka. |
Miundo mbinu ya maji taka inavyoonekana katika eneo la Mabogini. |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiangalia hatua ya mwisho ya maji taka ambayo yamekuwa yakitumika kwa ajili ya umwagiliaji wa zao la Mpunga katika skimu ya Lower Moshi. |
Watumishi wa mamlaka ya maji safi na maji taka wakifuatilia hotuba ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Lleonidas Gamaalipotembelea mamlaka hiyo. |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akizungumza mara baada ya kuhitimisha ziara ya kutembelea vyanzo vya maji vya mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi (MUWSA) |
EmoticonEmoticon